Friday, March 15, 2013

Fikiri cha kuomba pindi itakapokujia nyota ya jaa.

Siku moja sungura ilimtokea nyota ya jaa, kisha akasikia sauti inamuuliza sema unataka nini upatiwe, sungura akasema mi nataka karoti tu basi kisha hayo ya kwenye picha ndo yalomtokea

No comments:

Post a Comment