MAHITAJI
Tangawizi fresh 1
Maji masafi vikombe 2
sukari kijiko 1
chocolate/cocoa
1.Menya tangawizi uioshe alafu uikwaruze
chemsha kwenye maji yemye sukari mpaka yachemke vizuri
chuja kwenye kikombe chako.
2.Weka Cocoa yako kiasi ukipendacho,na kama ukiona kahawa kali waweza ongeza maji ya moto kiasi (dilute)
3.Kunywa kahawa yako fresh.
FAIDA ZAKE
Inapunguza Blood Pressure (BP)
Inaondoa maumivu wakati wa hedhi.
Inasaidia Mmeng'enyo wa chakula
Inaondoa kichefu chefu na kutapika
Inapunguza kubana kifua (Asthmatic Attack)
Inafungua koo lilioziba na inaondoa kikohozi
Inapunguza Chorestrol
Inapunguza hatari ya kansa ya kizazi
Inaondoa maumivu ya misuli
By
Chef Rehema Chuma.
.
No comments:
Post a Comment