Amazing Dinner Rolls
Mahitaji
- Maji ya uvuguvugu kikombe 1
- Backing powder vijiko 2
- Robo kikombe sukari nyeupe
- Kikombe kimoja maziwa ya uvuguvugu
- Kikombe kidogo blueband
- Yai moja
- Chumvi kijiko cha chai 1
- Unga wa ngano kilo 1
- Jinsi ya KuandaaChanganya Blueband na sukari kama unataka kupika cake,alafu tia maziwa na yai,endelea kuchanganya.Tia chumvi endelea kukoroga,alafu tia unga wako kidogo kidogo endelea kukoroga,alafu tia maji anza kukanda kwa mikono.Alafu.....fuatilia picha.
Chef Rehema Chuma.